Pages

Friday, February 26, 2016

Ziara ya kwanza ya mheshimiwa Mbunge Saumu Sakala ndani ya hospitali ya wilaya Pangani

Mheshimiwa Mbunge Saumu Sakala amafanya ziara yake ya kwanza tangu kuteuliwa kwake kwenye hospitali ya wilaya ya Pangani.Lengo la ziara hiyo ni kupata kufahamu changamoto zinazoikabili hospitali hiyo na kuweza kuzitafutia utatuzi changamoto hizo.


Pangani district hospital's entrance

Dr.Magire Mganga mkuu wa hospitali ya wilaya pangani
Mganga Mkuu akimpoke Mheshimiwa Mbunge Saumu Sakala mala baada ya kuwasili hospitalini hapo
Mheshimiwa Mbunge akipata maelezo mafupi kutoka kwa Mganga mkuu


Mganga Mkuu,Mh Mbunge na waandishi wa habari wakielekea wodi ya akina mama wajawazito



Muuguzi wa zamu akimkaribisha Mheshimiwa mbunge
Mheshimiwa Mbunge Saumu Sakala akimtazama mtoto aliyezaliwa akiwa amelala.


Mheshimiwa Mbunge Saumu Sakala akigawa sabuni ya kufulia,kuogea pamoja na poda za watoto kwa wamama waliojifungua



Wodi ya wakina mama wajawazito

Miundombinu chakavu ya wodi ya wamama wajawazito kama unavyoiona


No comments:

Post a Comment