Pages

Friday, February 26, 2016

Ziara ya Mbunge wa viti maalumu Saumu Sakala katika shule ya sekondari Kipumbwi wilayani Pangani

Hivi ndivyo Mbunge wa viti maalumu Mheshimiwa Saumu Sakala alivyotembelea shule ya sekondari Kipumbwi.Muheshimiwa mbunge alisomewa taarifa fupi kutoka shuleni iliobainisha changamoto mbalimbali zinazoikabiri shule hiyo.Changamoto mojawapo iliyojitokeza ni miundombinu mibovu ya madarasa.





Shule ya sekondari Kipumbwi
Mwenyekiti wa kata ya Kipumbwi akimkaribisha Mh.Mbunge Saumu Sakala-Viti maalumu
Mh.Mbunge akisalimiana na wajumbe wa bodi ya shule ya sekondari ya Kipumbwi
Mwalimu mkuu wa shule Bwana Joseph Mnyombe na Mh Mbunge wakiteta jambo
Wananchi waliohudhulia katika ziara ya Mh Mbunge shuleni hapo
Mh.Mbunge Saumu Sakala akiagana na mwenyekiti wa bodi ya shule Bwana Amri Seif na wajumbe wengine


No comments:

Post a Comment